Viewing and printing a document in Writer - Swahili

Spoken Tutorials published before 1 Feb. 2025 are accessible without login. To access subsequent ones, one has to log in.
If you don't have a login, please contact our Training Manager .

30 visits



Outline:

Jinsi ya kutumia chaguzi za kuchapisha Tazama mpangilio wa kawaida Tazama mpangilio wa wavuti Jinsi ya kutazama kwa skrini nzima Jinsi ya kutumia kipachiko cha kukuza Jinsi ya kutumia kichwa cha kukuza Jinsi ya kutumia kiwango cha kukuza Chaguzi mbalimbali za kukuza na mipangilio ya mwonekano Jinsi ya kutumia chaguo la Fit width Jinsi ya kutumia chaguo la Fit width and height Jinsi ya kutumia chaguo la Print Preview Tumia chaguo la Book view