Introduction to LibreOffice Writer - Swahili

Spoken Tutorials published before 1 Feb. 2025 are accessible without login. To access subsequent ones, one has to log in.
If you don't have a login, please contact our Training Manager .

This is a sample video. To access the full content,
please Login

38 visits



Outline:

Kuhusu LibreOffice Writer. Vibarazani mbalimbali vya zana (Toolbars) kwenye Writer. Jinsi ya kufungua hati mpya na hati iliyopo tayari. Jinsi ya kuhifadhi na kufunga hati kwenye Writer. Jinsi ya kuhifadhi kama hati ya MS Word. Jinsi ya kusafirisha (kuhifadhi) kama hati ya PDF. Jinsi ya kuhifadhi kwa fomati tofauti kama vile: .odt, .pdf, .html, .docx Jinsi ya kubadilisha jina la fonti (Font Name). Jinsi ya kubadilisha ukubwa wa fonti (Font Size). Jinsi ya kutumia mpangilio wa Align Centre (Panga Katikati).