Formatting Data in Calc - Swahili

Spoken Tutorials published before 1 Feb. 2025 are accessible without login. To access subsequent ones, one has to log in.
If you don't have a login, please contact our Training Manager .

39 visits



Outline:

Kutumia mitindo ya mipaka kutoka kwenye orodha iliyopo. Kufomatisha mipaka ya seli kulingana na upendeleo wetu. Kuongeza rangi ya usuli kwenye seli. Kufomatisha mistari mingi ndani ya seli moja. Kufungasha maandishi kiotomatiki. Kuunganisha seli. Kupunguza maandishi ili yaingie kwenye seli.