This is a sample video. To access the full content, please Login
How much recipients we can add to bcc?
46 visits
Outline:Chaguzi za Kuandika Barua Pepe. Wapokeaji wa barua pepe, yaani, To (Kwa), Cc (Nakala), Bcc (Nakala Fiche). Weka muundo wa maandishi ya barua pepe. Ambatisha faili kwenye barua pepe. Shiriki faili kupitia Google Drive. Dondosha picha au kiungo kwenye barua pepe na ujifunze kuhusu chaguzi kwenye dirisha la kuandika (Compose window).
Chaguzi za Kuandika Barua Pepe. Wapokeaji wa barua pepe, yaani, To (Kwa), Cc (Nakala), Bcc (Nakala Fiche). Weka muundo wa maandishi ya barua pepe. Ambatisha faili kwenye barua pepe. Shiriki faili kupitia Google Drive. Dondosha picha au kiungo kwenye barua pepe na ujifunze kuhusu chaguzi kwenye dirisha la kuandika (Compose window).
Show video info
Pre-requisite